Wilaya ya Zouan-Hounien
Mandhari
Wilaya ya Zouan-Hounien | |
Eneo la Wilaya ya Zouan-Hounien. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Montagnes |
Mkoa | Tonkpi |
Serikali[1] | |
- Prefect | Lancina Fofana |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 195,082 |
GMT | (UTC+0) |
Wilaya ya Zouan-Hounien (kwa Kifaransa: département de Zouan-Hounien) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Tonkpi ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 195,082.
Makao makuu ya eneo hilo ni Zouan-Hounien.
Wilaya ya Zouan-Hounien sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Zouan-Hounien kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |